|
|
|
|
|||||||||||||
|
|
|
||||||||||||||
|
|
Habari kutoka Uholanzi Oktoba 2009 - Tulianza ukarabati wa madarasa katika shule ya msingi ya Magutu. Mkurugenzi wa Mradi Rene de Vries alikuwa Kenya. Julai / Agosti 2009 - pendekezo letu ni linaidhiniswa na NCDO. Aprili 2009 – Tutatuma pendekezo zingine mpya kwa NCDO Februari 2009 – Mwanachama wa FUSP Rene de Vries alikua nchini
Kenya kwa wiki mbili na akafanya mkutano na wanachama wa shirika la
kibinafsi la Bidii, wakajadiliana kuja kwa madakitari wa meno kutoka
uholanzi, katika shule ya msingi ya Magutu na akapeleka tarakilishi
katika shule. Januari 2009 – wanachama wa FUSP wa shirka la meno la Dutch
Dental Care Foundation (DDC). DDC iko tayari kuangalia meno
ya wanafunzi wote wa Shule ya Msingi ya Magutu. Ikihitajika meno
yatatibiwa. Wanafunzi, Waalimu na wazazi watapata maelezo mafupi na
kupwa mswaki.Hii itafanyika februari 2009 Desemba 2008 – usimamizi wa mashirika yasio ya kiserikali,nairobi
inazidi kuchelewesha usajili wa shirika la Bidii, lakini tunaendelea
kujaribu ili liweze kusajiliwa kabla ya mwisho wa mwaka wa wa 2008 (hata
hivyo haitatushangaza Nairobi kikamilisha shughuli hii mwaka wa
2015. Oktoba 2008 – Mwanachama wa FUSP Rene de Vries alikua Kenya kwa
wiki tatu (oktoba). Alifanya mkutano na wanachama wa shirika la
Bidii, akatembelea shule na kuzindua ujenzi wa vyoo vipya katika
shule ya Msingi ya Magale na kuekwa kwa bomba za maji zenye urefu wa
kilomita nne za Shule ya Msingi ya Mwangea. |
|
||||||||||||
|
|
||||||||||||||
|
|||||||||||||||