 |
 |
|
Shirika |
 |
|
Karibu
Sisi
ni nani
Mawasiliano
Bidii
|
Habari chipukizi |
 |
|
Computers
delivered at schools.
New
classroom Magutu ready.
New website
in June online.
Wageni tangu
Agosti 1, 2003:
Maelezo ya hivi punde:
21 mei 2011
|
|
|
 |
 |
|
 |
Karibu
Shirika hili Foundation Ukunda Schools Project, linasaidia shule
mbili, Magutu na Magale. Tunasaidia pia shule ya upili ya
St. Philip's Girls Secondary School, na tunafanya kazi kupitia
miradi mipya: kama kusambaza mabomba ya maji safi ya kunywa.
Waholanzi waliojitolea husafiri hadi Kenya,kwa gharama yao
wenyewe kutembelea shule tunazozisaidia. Sisi hununua kila kitu
Kenya ili kuinua uchumi wake, pia huhakikisha shule hizi zinatumia
vifaa tulivyowapatia. Tunafanya kila juhudi kuhakikisha tunatembelea
shule zilizo katika mradi wetu ingawa mara mbili kwa mwaka.
Kando na waholanzi wanaojitolea, shule hizi pia hutembelewa na
mkurugenzi wetu wa nyanjani Rose Anami.
Tunatia changamoto hizi shule ziangazie sana mafunzo ya jinsia,
kuhusu Ukimwi . Jinsi wanafunzi wanaweza jipanga kupigana na hili
gonjwa. Elimu lkama hii inahitajika sana.
Tunahitaji usaidizi ili kufikia malengo yetu. Unaweza kutusaidia kwa
kutoa mchango ama kwa kuwa mfadhili wa hili shirika. Ona Mchango kwa
maelezo zaidi.
Kwa usaidizi wako wa kifedha unaatusaidia kumpa mtoto wa Kenya fursa
zaidi ya kumaliza shule ya msingi hivyo basi kuongeza nafasi ya
mototo huyo kuwa na maisha bora.
|
 |