 |
 |
|
Shirika |
 |
|
Karibu
Sisi
ni nani
Mawasiliano
Bidii
Bidii
inamaanisha juhudi
Ukifanya kazi ama usome kwa juhudi basimutapata
matokeo mazuri na utatekeleza mengi maishani mwako.
|
|
 |
 |
|
 |
Bidii NGO Ili kufanya kazi haraka na
kwa ufasaha, ni lazima shirika letu lifanye kazi pamoja na shirika
tanzu nchini Kenya.
|

Kijiji kidogo cha kambiri ndio kitakua kituo cha
“Mradi wa Kambiri”; shughuli kuu za shirika la
Bidii zitaangazia maendeleo ya kijiji hiki.
|
Wasimamizi wa bidii ni wakenya pekee na linapatikana wilaya ya
Kakamega. Jukumu kubwa la bidii itakuwa usimamizi na utekelezaji wa
“Mradi wa Kambiri”. Bidii ni shirika lisilo la kiserekali
lililosajiliwa. Ona pia Usimamizi wa Mashirika yasio ya kiserekali
Nairobi.
Tembelea tufuti ya bidii
http://www.bidii.org
Kwa sasa unaweza soma habari zote kuhusu Mradi wa Kambiri chini ya
vichwa vya miadi kwenye tufuti yetu ya FUSP ( makao ya watoto, kituo
cha jamii, chuo cha mafunzo
|
|